.

.

HARMONIZE AWEKA WAZI SIRI YA DIAMOND PLATINUM KUHUSU CHAKULA ANACHOKULA

ZePLAN | 23:44:00 | 0 comments

Image result for DIAMOND PLATINUM AND HARMONIZE

Msanii wa bongo Fleva Harmonize amefichua siri kuwa bosi wake msanii Diamond Platnumz huwa anakula chakula ambacho mke wake Zari amepika wakati akiwa nyumbani.

Image result for DIAMOND PLATINUM AND HARMONIZE
Harmonize
ambae anatamba na nyibo yake mpya nayoitwa  BADO alio mshirikisha Diamond Platinum
amefunguka kuwa shemeji yake  Zari huwa hapendi chakula anachokula Diamond kipikwe na msaidizi wa kazi za ndani na mara zote Diamond anapokuwa nyumbani chakula chake huwa kinaandaliwa na Zari ambae ni mama watoto wa Diamond Platinum, Diamond platinum anamtoto mmoja anaeitwa Latiffa au Tiffa ambae anakimbilia kufikisha mwaka sasa.


“Yani Zari ni shemeji bora kwangu, kwanza chakula cha Diamond hakipikwi na yeyote zaidi yake, so akimuwekea na mimi huwa nakula pia sababu Diamond nae hapendi kula peke yake” alifunguka msanii huyo anayetamba na wimbo wake wa Bado.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments