Garrisa yaliotokea kumbe sababu ni hii
aziri wa usalama wa ndani nchini
Kenya Generali Joseph Nkaiserry amekiri kwamba vyanzo na duru za
kijasusi zilitahadharisha lakini zilipuuzwa kabla ya shambulizi la Al
Shabaab katika chuo kikuu cha Garrissa.
Karibu watu 150 walikufa wakati wa shambulio hilo.
Waziri Nkaissery ameongeza kusema shughuli za wokozi zilizofuata pia zilifanywa kiholela.
Baadhi ya Maafisa wakuu wa polisi wamesimamishwa kazi kufuatia shambulia hilo la Chuo Kikuu cha Garrissa.
Category:
0 comments