.

.
Image result for zanzibar national team
Rais wa shirikisho la mpira nchini Tanzania (TFF) Jamal Malinzi, amethibitisha juhudi mpya za Zanzibar kuwa mwanachama wa Fifa.
Zanzibar, ambayo  ni sehemu ya Tanzania inayo jisimamia na kujiendesha yenyewe na  serikali yake, ilipata idhini rasmi na shirikisho la CAF mwezi Machi.
Visiwa vya Zanzibar vimekuwa na matumaini ya muda mrefu kuwa mwanachama wa shiriko la kandanda la kimataifa na maombi yake ya awali yalikataliwa na Fifa mwaka 2005.
Zanzibar national football team Latest news on CECAFA
Shirikisho la kandanda visiwani Zanzibar tayari limetimiza mahitaji muhimu kwa kuwa mashirika ya kitaifa, lazima yawe wanachama wa yale ya bara kabla ya kujiunga na Fifa
Ikiwa Fifa itakubali mwanachama huyo wa 55 wa Caf, basi visiwa vya Zanzibar vitakuwa mwanachama wa 212 wa shirikisho hilo la kandanda duniani.
Atakuwa na haki ya kupiga kura kuamua masuala ya kimataifa ya kandanda na kikosi chake kitakuwa na fursa ya kushiriki mechi za kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2022.
Mitambo ya Marekani ya kujikinga nchini Korea KusiniHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionMitambo ya Marekani ya kujikinga nchini Korea Kusini
Marekani imeahidi kuimarisha uwezo wake wa kijeshi ili kukinga washirika wake wa mashariki mwa Asia dhidi ya Korea kaskazini.
Ikulu ya white house inasema rais Trump amemhakikishia waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe kwamba Marekani itasimama pamoja na Korea kusini na Japan, katika kukabiliana na vitisho vya Korea Kaskazini.
Matamshi hayo yanajiri kabla ya mkutano kati ya Rais Trump na rais wa Uchina Xi Jing Ping huko Florida.
Wawili hao wanatarajiwa kujadili kuhusu Korea kaskazini na majaribio ya makombora ya masafa marefu inayoendesha, licha ya umoja wa mataifa kuiwekea vikwazo
Manchester United have improved under Jose Mourinho, says Phil Thompson Meneja wa timu ya Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa Luke Shaw alitumia mwili wake lakini ubongo wa Mourinho wakati wa mechi kati ya Manchester United na Everton, ambayo ilisha kwa sare ya 1-1.
Image result for man utd
Shaw mwenye miaka 21, alicheza mara ya kwanza tangu Januari na ilikuwa penalty iliyotokana na mkwaju wake ambapo Zlatan Ibrahimovic alisawazisha.
Luke Shaw
"Alikuwa mbele yangu na nilikuwa nikimfanyia kila uamuzi" Mourninho alieleza




Shaw ndiye alikuwa mchezaji mdogo pekee kutoka Manchester aliyetengwa kando na Mourinho baada ya United ilitoka bao sare kwa mara ya tisa nyumbani katika ligi msimu huu.Zlatan Ibrahimovic
United ilimshukuru Ibrahimovic tena kwa penalty aliyoufunga iliyosaidia United kupata alama moja na kuiweka United nambari tano kwa jedwali.
Haki milikiGES
Suarez akiwa na Messi wakishangilia ushindi
Image caption
Wababe wa soka ya nchini Hispania,Real Madrid  na Barcelona wameendelea kuendeleza kichapo na kujiwekea nafasi nzuri ya kujishindia  katika michezo ya kuwania ubingwa wa la liga.
La liga
Wachezaji wa Barcelona wakipongezana baada ya Messi kufunga

Barcelona wakicheza katika uwanja wao wanyumbani wa Nou Camp wamewachapa Sevilla kwa mabao 3-0, magoli ya Barca yakifunga na magwiji wakutingisha nyavu Luis Suarez na lionel Messi aliyefunga mara mbili.
Real Madrid wakiwa ugenini wameendeleza ubabe na kuibuka kidedea kwa kushinda mabao 4-2 dhidi ya Leganes,Mshambuliaji Alvaro Morata akifunga hattrick na goli lingine likifungwa na James Rodriguez, wakati magoli ya Leganes yakifungwa na Gabriel Pires,na Luciano Neves na kuwaacha mashabiki wa leganes kuondoka na majozi baada ya timu yao kupoteza mchezo huo wakiwa nyumbani .
La ligaHaki miliki ya picha
Image captionMshambuliaji wa Real Madrid James Rodriguez akiwa amemiliki mpira
Alaves wakalala nyumbani kwa bao 1-0 dhidi ya Osasuna, Deportivo La Coruna wakatoshana nguvu na Granada kwa sare ya bila kufungana , Malaga wakawatambia Sporting Gijon nyumbani kwa kuwafunga bao 1-0.
EPL
Eden Hazard akitia kimiyani goli la kwanza la Chelsea
Image capti
Hapo jana nyasi ziliendelea kupamba moto baada ya timu mbali mbali kutimua moto katika viwanja mbalimbali huko Ulaya.
Chelsea ambao walikutana na Man city waliweza kuisambaratisha Man city kwa kifurushi cha  mabao mawili kupitia winga wao mahiri Eden Hazard, huku bao la Man City la kufutia machozi likifungwa na Sergio Aguero .
Hazard scored on the rebound from his missed penalty
Arsenal wakicheza katika uwanja wao wa Emirate waliwachapa West Ham kwa mabao 3-0 na hivyo Arsenal kurejea katika nafasi ya tano.
EPL
 Theo Walcot na Mesut Ozil wakishangilia goli
Haki miliki ya p
Image captionLiverpool wakashindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya kukubalia sare ya mabao ya 2-2 na AFC Bournemouth, Hull City wao wakashinda kwa mabao 4-2 dhidi ya Middlesbrough.
Tottenham Hotspur wakicheza ugenini katika uwanja wa Libery walitoka kidedea kwa ushindi wa  mabao 3-1 dhidi ya Swansea City, Southampton wakashinda kwa 3 - 1 dhidi ya Crystal Palace.


Magari yasiyo na dereva kuanza kutumika London

Katika kipindi cha majuma matatu yanayokuja karibu watu 100 wataanza kutumia magari hayo katika eneo la Greenwwich mjini London.

Magari hayo ambayo husafiri kwa hadi kasi ya kilomia 16.1 kwa saa, yataelekezwa na kompyuta.

Hata hivyo kutakuwa na mtu ndani ya gari hilo ambaye anaweze kulisimamisha ikiwa itahitajika.

Magari yasiyo na dereva kuanza kutumika London

Magari yasiyo na dereva kuanza kutumika London
Oxbotica, ambayo ni kampuni iliyounda magari hayo, ilisema kuwa watu 5000 wametuma maombi ya kutaka kushiriki katika majaribio hayo.

Magari hayo yanawabeba watu wanne na hayana usukani wala breki

Gari hilo lina kamera ambayo inaweza kuona umbali wa mita 100 na husimama wakati kuna kitu chochote mbele yake.
Maafisa wa mradi huo wanaamini kuwa magari hayo, yatasaidia katika kuboresha usafiri eneo la Greenwish jijini London.
Image result for Cristina FernandezJaji mmoja nchini Argentina amemfungulia aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Cristina Fernandez de Kirchner na wanawe wawili mashtaka ya ubadhirifu wa fedha, na ufisadi.
Washiriki wake Fernandez wawili wa kibiashara pia wametajwa katika kesi hiyo na wote watano wamezuiliwa kuondoka Argentina.
Fernandez, mwenye umri wa miaka 64 tayari anakumbwa na mashtaka mengine ikiwemo kutumia pesa za serikali kiholela.
Amekanusha madai haya akisema kuwa ni vita vya kisiasa.
Katika taarifa siku ya Jumanne, maafisa walisema hakimu wa mahakama kuu Claudio Bonadio aliwasilisha rasmi ombi la kumfungulia Fernandes mashtka ya ubadhirifu wa fedha.
Mwanawe wa kike, Florencia, na wa kiume, Maximo pamoja na wanabiashara Christobal Lopez na Lazaro Baez pia wameshtakiwa.
Kulingana na taarifa hiyo, takriban dola milioni nane mali ya Fernandez imezuiliwa .
Mwezi jana, jaji mmoja aliamua kuwa Fernandez, aliyekuwa rais kutoka mwaka 2007 hadi 2015 ajibu shtaka la utumizi mbaya wa fedha akiwa ofisini.
Anadaiwa kuiamuru benki kuu kuuza dola kwa bei ya chini sana, wakati ambapo ilitarajiwa thamani ya pesa itashuka
Fernandez pia anakumbwa na shtaka tofauti la ufisadi ambapo inadaiwa serikali yake ilimpa mwanabiashara mmoja kwa jina Baez, ambaye ana uhusiano wa karibu na familia ya Fernandez, mikataba bila ya kufuatilia sheria zinazofaa.
Anadai mashtaka yote dhidi yake ni njia ya Rais nchi hiyo Mauricio Macri kumdhalilisha kisiasa.

Imekuwa desturi mbaya kukebei na kuleta dharau katika maswala ya kiimani haswa kwenye mitandao ya kijamii.Klabu moja imejikuta ikiingia matatizoni na kufungiwa kwa kitendo kisichokuwa cha kiuungwana na kukera watu na kusababisha hisia za watu kuja juu kwa kile kinachosadikiwa kuwa Dj husika alipiga nyimbo yenye mchanganyiko na sauti ya adhana ndani ya nyimbo hiyo.
Kupitia kanda ya video hiyo ,video hiyo iliosambazwa siku ya Jumapili kutoka tamasha la Orbit katika eneo la kaskazini mashariki mwa mji wa Nabeul imezua hisia kali katika mitandao ya kijamii.
Klabu
Gavana wa Nabeul, Mnaouar Ouertani alisema kuwa Klabu hiyo itabaki kufungwa hadi pale taarifa zaidi zitakapotolewa kuhusiana na hatma yake.
Uchunguzi umeanzishwa kuhusu kisa hicho.
Image result for orbit club tunisia
Dax J
Kanda hiyo ya video inaonyesha watu waliokwenda kujivinjari katika tamasha hilo siku ya Ijumaa wakicheza densi ya muziki uliokuwa ukichezwa na DJ wawili kutoka bara Ulaya, karibu na hoteli maarufu, Hammamet, ilio ufuoni mwa bahari.
Mziki huo ulijumuisha aina ya densi iliyochanganywa na Adhan, mwito wa Waislamu kwa maombi, mara tano kwa siku.
Image result for orbit club tunisia
" Baada ya kuthibitisha ukweli wa mambo, tuliamua kuifunga klabu hiyo" Bwana Ouertani alikariri
Alisema kuwa meneja wa klabu hiyo amewekwa kizuizini "kwa kukiuka maadili mema yaliozua hisia kali kutoka kwa umma" huku akiongezea kuwa uchunguzi ungali unaendelea.
"Hatutaruhusu mashambulizi dhidi ya hisia za kidini" alisisitiza Bwana Ouertani
Siku ya Jumatatu, waandaji wa tamasha la Orbit waliomba msamaha katika ukurasa wao wa facebook, lakini walisema kuwa hawatokubali kujipa jukumu la kuchezwa kwa muziki wa kupotosha.
DJ "hakujua kwamba ingewakera waliohudhuria kutoka nchi ya Kiislamu kama yetu," walielezea katika ujumbe wao katika mtandao wa kijamii kwa lugha ya kifaransa.
Dax J, aliyecheza Adhan, baadaye aliomba msamaha kwa yeyote yule aliyekerwa na muziki alioucheza katika tamasha la Orbit nchini Tunisia siku ya Ijumaa.
"Haikuwa kupenda kwangu kufadhaisha mtu yeyote," Aliongeza.
Image result for ewura meneja mawasiliano
Akitangaza bei hizo leo Meneja wa Mawasiliano wa Ewura nchini Tanzania , Titus Kaguo aliwaambia wanahabari kuwa petroli imeshuka kwa Sh 3 na itauzwa kwa Sh 2057 kutoka 2060, dizeli imepanda kwa Sh 12, kutoka Sh 1913 hadi 1925 na mafuta ya taa ni Sh 1958 kutoka 1952.
Image result for ewura meneja mawasiliano

"Mabadiliko haya bei yametokana na bei za mafuta katika soko la dunia kubadilika sanjari na mfumuko wa bei na gharama za usafirishaji ikilinganishwa na mwezi uliopita,"amesema Kaguo.
Image result for oil station
Hata hivyo mabadiliko hayo ya bei yatatofautiana kutoka mkoa mmoja na mwingine akitoa ufafanuzi meneja wa mawasiliano Ewura alisema mkoa wa Tanga utakuwa na viwango tofauti kidogo na mikoa mingine kutokana na upatikanaji wa mafuta hayo mkoani humo kutokana na uwepo wa bandari inayosaidia urahisi wa meli za mafuta kushusha mafuta hayo mkoani Tanga na kupelekea bei kuwa na unafuu kidogo.

Image result for jahazi zanzibarBaada ya habari ya msichana wa miaka 16 kujirusha baharini kutoka kwenye boti ya abiria iliokuwa ikifanya safari zake kutoka Dar es salaam kwenda Unguja kwa boti ya Azam na kuzua gumzo nchini Tanzania. 

 Leo inasadikiwa  takriban watu 10 wanahofiwa kufa maji baada ya boti iliyokuwa imebeba watu takriban 50 kuzama baharini, visiwani Zanzibar.

Habari zilizowasilishwa mara baada ya  kuzungumza na nahodha wa boti ya Azam SeaLink inayosafiri kutoka kisiwa cha Pemba kwenda kisiwa cha Unguja Nassor Aboubakar, waliofanikiwa kumuokoa mmoja wa wavuvi hao.

Usafiri wa namna hii umekuwa ukitumika sana kitu ambacho imekuwa ikihatarisha sana maisha ya watu kutokana na vyombo vitumikavyo kutokuwa na ubora na viwango vya kutosha kwa ajili ya kusafirishia abiria.

Picha ya nywele asilia za bi Michelle Obama yazua hisia mitandaoniHaki miliki ya pich
Image captionPicha ya nywele asilia za bi Michelle Obama

Picha iliomuonyesha mke wa aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama akiwa amezifunga nywele zake nyuma, badala ya alivyokuwa akitengeza nywele zake wakati akiwa mke wa kwanza wa taifa la Marekani katika kipindi cha miaka minane katika ikulu ya Whitehouse imesambazwa sana katika mitandao ya kijamii.
Ujumbe wa Twitter uliochapisha picha ya Michelle Obama umesambazwa zaidi ya mara 30,000.
Haijulikani ni lini ama wapi picha hiyo ilipigwa ,lakini mumewe Barrack Obama anaandika kumbukumbu ya wakati alipokuwa rais katika eneo la Tetiaroa, kisiwa kilichopo kusini mwa Pacific kilichomilikiwa na Marlon Brando, kulingana na gazeti la Washington Post.
Michelle Obama participates in a panel discussion at Glamour Hosts
Picha ya nywele zake kabla
Nywele zimekuwa swala la kisiasa barani Afrika miongoni mwa jamii za watu weusi.
Mwandishi wa vitabu nchini Nigeria Chimamanda Ngozi Adichie amesema kuwa iwapo Bi Michelle Obama alikuwa na nywele asili, Barrack Obama asingeebuka mshindi.
Kemikali za nywele ambazo hunyorosha nywele zimekuwa na umaarufu kwa miaka mingi.
Lakini huku mbinu hiyo ya kuweka nyewle ikionekana kuwa ya kitaalam ,wengine wanasema sio ya Kiafrika.
''Kunyorosha nyewle ni sawa na kuwa jela, bi Adichie aliandika. Ni kama mfungwa. Nywele zako zinakutawala''.
HakES
Image result for korea kaskazini
Image result for korea kaskaziniImaJapan imeijibu vikali Korea Kaskazini kufuatia nchi hiyo kufyatua kombora jingine hivi karibuni na kutaja hilo ni tatizo kubwa lililopindukia.
Katika Mji wa Pyongyang,Kombora lenye uzito wa kati lilirushwa upande wa mashariki mwa bandari ya Sinpo kuelekea bahari ya Japan.
Related image
Waziri kiongozi wa nchi hiyo ,Yoshihide Suga amewaambia waandishi wa habari kuwa nchi yake haiwezi stahimili vitendo hivyo vya uchochezi ambavyo Korea kaskazini imevirudia kuvifanya.
JapanHaki miliki ya picha
Image captionKorea Kaskazini kurejea kurusha makombora Japan
Kombora hilo limerushwa siku chache kabla ya rais wa China, Xi Jinping kufanya ziara nchini Marekani kukutana na rais Trump ili kujadili namna ya kudhibiti mipango ya Nuklia na makombora ya masafa marefu ya Korea kaskazini. .
Jacob Zuma
Chama kikubwa cha wafanyikazi nchini Afrika Kusini, Cosatu kimeunga mkono kauli ya wale wanaomtaka rais Jacob Zuma kujiuzulu.
Japo Cosatu kinajulikana kuunga mkono chama tawala ANC, kimemshutumu rais Zuma kwa kile wanachokitaja kuwa na uhusiano wa karibu mno na familia moja ya jamii ya Wahindi huko Afrika Kusini, waitwao Gupta, wanaodaiwa kuwa na ushawishi mkubwa katika serikali ya Zuma.
Bw. Zuma na falimia hiyo ya Guptas, wamekana kufanya kosa lolote.Former South African Finance Minister Pravin Gordhan (centre) and his deputy Mcebisi Jonas (right) 31/03/17
Chama kikubwa cha wafanyikazi nchini Afrika Kusini, Cosatu kimeunga mkono kauli ya wale wanaomtaka rais Jacob Zuma kujiuzuJapo Cosatu kinajulikana kuunga mkono chama tawala ANC, kimemshutumu rais Zuma kwa kile wanachokitaja kuwa na uhusiano wa karibu mno na familia moja ya jamii ya Wahindi huko Afrika Kusini, waitwao Gupta, wanaodaiwa kuwa na ushawishi mkubwa katika serikali ya Zuma.
Bw. Zuma na falimia hiyo ya Guptas, wamekana kufanya kosa lolote.
Wiki iliyopita chama chengine mshirika wa ANC The South African communist party pia kilimtaka Bw. Zuma kung'atuka mamlakani kutokana na kashfa tele zinazozidi kumuandama, madai ya makosa ya ufisadi.
Wafanyikazi wa COSATU Afrika Kusini wamtaka Zuma Kujiuzulu
Wafanyikazi wa COSATU Afrika Kusini wamtaka Zuma Kujiuzulu
Sarafu ya Rand imekuwa ukiyumba yumba kutokana na malumbano hayo ya kisiasa nchini Afrika Kusini hasa tangu kufutwa kazi kwa aliyekuwa waziri wa fedha nchini humo Pravin Gordhan.Cyria Ramaphosa, Jacob Zuma and Pravin Gordhan with their thumbs up


Salma KikweteHaki miliki ya pichaE
Image captionSalma Kikwete mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete.
Spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai leo amemuapisha mke wa rais mstaafu wa awamu ya nne wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, Salma Rashid Kikwete kuwa mbunge wa Bunge wa kuteuliwa.Mh.Salma aliandamana na mumewe rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete, ambaye uwepo wake ulisababisha kelele za shamra shamra hoi hoi na nderemo kutoka kwa wabunge wakisema kwa sauti 'tumekumiss tumekumiss wakimshabikia Rais huyo mstaafu [pamoja na familia yake iliokuwepo hapo bungeni.
kurasa ya twitter ya Rais huyo mstaafu ilithibitisha uwepo wake pia katika tukio hilo adhwimu la uwapishaji wa mkewe bibi Salma Kikwete
tweetHaki miliki ya pich

Huu ni mkutano wa saba wa bunge la Tanzania ukiwa umeanza kikao chake cha kwanza cha mkutano wa bajeti hii leo.
Mama Salma kama anavyotambulika na wengi nchini ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, lakini pia anatajwa kuwa na ushawihi mkubwa sana wa kisiasa ndani ya chama chake.
Wanaume wanaliaHaki miliki ya pichaAFP
Image captJuan Manuel Santos amesema serikali inakusanya $ milioni 13.9 zitakazosaidia kukabiliana an masuala ya kibinaadamu.
Juan Manuel Santos amesema serikali inakusanya $ milioni 13.9 zitakazosaidia kukabiliana na masuala ya kibinaadamu.Wakati huo huo mazishi ya kwanza ya wahanga 262 waliouawa katika maporomoko ya Jumamosi yamefanyika. Lakini bado jitihada za kutafuta manusura zinaendelea.
Miti imeangukaHaki miliki ya pichaEPA
Image capti
Shirika la msalaba mwekundu limeliambia shirika la habari la AFP kwamba bado wana muda katika saa 72 za kwanza baada ya mkasa na wanatumai kupata manusura. Hatahivyo matumaini yanafifia miongoni mwa wakaazi wanaotafuta jamaa zao waliosombwa katika udongo, mawe na kifusi vinavyotokana na maporomoko hayo yalioukumba mji huo uliopo kusini magharibi mapema Jumamosi.
Rais Santos ameahidi uwekezaji zaidi katika mji wa Mocoa zaidi ya ilivyokuwa awali, na kumkabidhi mamlaka waziri wa ulinzi Luis Carlos Villegas kuusimamia mji huo.
.