MH EDWARD LOWASA AWEKA PICHA ZAKE MTANDAONI NA KUANDIKA UJUMBE MZITO
Mh Edward Lowasa ambae alikuwa mgombea urais kwa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA ameweka picha zake mtandaoni akiwa anachunga mifugo yake na kuandika maneno machache
"Ndugu zangu,naendelea kumshukuru
Mungu kwa kila jambo. Nikiwa shambani kwangu Mzeri, Handeni nikichunga
mifugo yangu naona miujiza ya Mungu ikitendeka. Mazingira ya asili ni
zawadi kuu aliyotukirimu Mwenyenzi Mungu. Kila mmoja wetu kwa nafasi
yake amshukuru Mungu kwa kuyathamini, kuyalinda na kuyatunza mazingira
popote alipo"
Category:
0 comments