.

.

HALIMA MDEE KULALA RUMANDE LEO

ZePLAN | 16:55:00 | 0 comments


February 29 2016 Jeshi la Polisi Dar es salaam Mbunge wa Kawe Halima Mdee kwa tuhuma za kufanya shambulizi la kumpiga mtu, tukio linalodaiwa kutokea siku ya February 27 wakati ilipotangazwa kuzuiliwa kwa uchaguzi wa Meya wa Dar es salaam.

Nje ya jengo la Polisi Makamu Mwenyekiti wa Chadema na wakili wake Prof. Abdallah Safari amesema kuwa ‘Halima ameshitakiwa kwa kosa la shambulizi la mwili ambalo kisheria ni kosa dogo, wanasema alimshambulia RAS wakati wa uchaguzi ulipoahirishwa juzi katika ukumbi wa  Karimjee’

‘kwahiyo nimekuja kushuhudia maelezo yake akiandika, hata hivyo kwa maoni yangu Halima hakuhusika kabisa na hicho kitu lakini polisi wamemkatalia dhamana kwa hiyo Halima atalala rumande leo’

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments