MAREKANI WAKUBALI KAULI YA URUSI JUU YA KUSAKA AMANI
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa
Marekani, John Kerry, amesema kuwa amekubaliana na Urusi juu ya
kuimarisha mashauriano ya amani ya kupata suluhu ya mpito ya kisiasa
nchini humo.
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Urusi, Sergey Lavrov, alisema kuwa nchi yake na Marekani itahimiza Serikali na Makundi ya Upinzani wafanye mashauriano.
Category:
0 comments