ZANTEL YATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWENYE KITUO CHA MKUBWA FELLA
Mtendaji
Mkuu wa kampuni inayotoa huduma za simu Benoit Janin wa pili kutoka
kushoto akiongea na wanahabari hawapo pichani katika hafla ya
kuwakabidhi msaada wa kompyuta tatu kituo cha Mkubwa Fella. Wa pili
kutoka kulia ni Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari.
Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Leah Kihimbi Hafla hiyo imefanyika
jijini Dar es Salaam leo
Mkurugenzi
Idara ya Maendeleo ya Sanaa Wizara ya Habari. Utamaduni, Sanaa na
Michezo Bi. Leah Kihimbi wa pili kutoa kushoto akikabidhi msaada wa
Kompyuta tatu kwa wawakilishi wa Mkubwa Fella wa kwanza kulia ni Bw.
Yusuph Chambuso.
Baadhi ya
wasanii wa kikundi cha Yamoto Bendi wakionyesha umahiri wao wa kuimba
mbele ya wanahabari wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa kompyuta
tatu kwa kikundi cha Mkubwa Fella iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Category:
0 comments