ALIEKUWA KIONGOZI WA KIJESHI WA PAKISTANI BWANA PERVEZ AWASILI DUBAI KWA AJILI YA ATIBABU
Aliyekuwa kiongozi
wa kijeshi nchini Pakistan Pervez Musharaf amewasili mjini Dubai kupata
matibabu baada ya serikali kumuondolea marufuku ya usafiri aliyowekewa
mwaka 2013.
Aliondoka madarakani mwaka mmoja baada ya utawala wake kukabilia na upinzani mkali. kuondolewa kwa vikwazo hivyo ni kama pigo kwa waziri mkuu Naawaz Sharif ambaye aliahidi kumuwajibisha Musharraf kutokana na vitendo vyake vilivyokuwa kinyume na sheria.
Category:
0 comments