IPTL YAKANUSHA TUHUMA ZA RUSHWA WALIJIA JUU GAZETI LA MWANAHALISI
Kaimu
Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power
Tanzania Limited (IPTL) na Pan African Power Solutions (T) Limited Bwn.
Joseph O. R. Makandege (katikati), akifafanua jambo mbele ya waandishi
wa habari (hawapo pichani) kuhusu taarifa ya upotoshaji iliyochapishwa
na gazeti la MwanaHALISI ikihusisha IPTL kutoa rushwa kwa viongozi
waandamizi wa ikulu na watendaji waandamizi wengine serikalini.
Kulia ni
Mkurugenzi wa uendeshaji wa IPTL Bwn. Parthiban Chandrasakaran na
kushoto ni msaidizi wa mwenyekiti mtendaji Bwn. Rajiv Bhesania.
Category:
0 comments