MAKAMU WA RAIS MH SAMIA SULUHU USO KWA USO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa
Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam jana March 04,2016 Kwa ajili ya
mazungumzo ya kikazi.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa
Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam jana March 04,2016 Kwa ajili ya
mazungumzo ya kikazi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Afya
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati
waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam
jana March 04,2016 Kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi
Category: