.

.

MICHEZO:Morinyo azungumzia kuhusu kinyanganyiro

ZePLAN | 13:20:00 | 0 comments

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho
Mkufunzi wa kilabu ya Chelsea Jose Mourinho
amesema kuwa kinyang'anyiro cha kuwania
ubingwa wa ligi ya EPL bado kiko wazi licha ya
timu yake kuwa mbele na pointi saba mbali na
mechi moja ambayo haijacheza.
Mourinho anaamini kuwa timu yoyote ambayo iko
nyuma na pointi saba ama nane bado ipo katika
kinyang'anyiro na kwamba hashangazwi na
kushuka kwa Manchester City katika kupigania
taji hilo.
Chelsea itamenyana na QPR ugenini jumapili
katika debi ya Magharibi mwa London.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments