IRELAND:KURA ZAENDELEA IKIWA NI MAAMUZI JUU YA NDOA YA JINSIA MOJA
Shughuli ya upigaji kura inaendelea huko Ireland katika kura ya maoni ya kubadilisha katiba ili kuruhusu ndoa za mapenzi ya jinsia moja.
Iwapo mabadiliko hayo yataidhinishwa,Ireland itakuwa nchi ya kwanza kuhalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja kwa wingi wa kura.Matokeo ya kura hiyo yanatarajiwa jumamosi mchana.
usiache kutembelea ukurasa huu kwa ajili ya matokeo zaidi.
Category:
0 comments