WATANGAZAJI WAKO NGULI WA CLOUDS FM WANAO ENDESHA KIPINDI CHA POWER BREAKFAST WATAMBULISHWA E FM
Watangazaji
wa zamani wa kipindi cha Power Breaking kinachoruka kupitia Clouds Fm
wametambulishwa kama watangazaji wapya wa Redio E FM.
Watangazaji
hao walitangazwa jana katika Shindano la Shika Ndinga 2016
lililoandaliwa na E FM na kufanyika katika viwanja vya Mbagala Zakhiem
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Redio E FM, Francis Siza maarufu kama DJ Majay ndiyo aliyewatambulisha Paul James, Gerard Hando na Abel Onesmo.
Paul James `PJ` na Gerard Hando wakienda katika jukwaa kutambulishwa.
Mkurugenzi wa Redio E FM, Francis Siza akiwatambulisha Gerard Hando na Paul James.
PJ na Gerard Hando wakiwa katika picha ya pamoja na Dina Marious.
Category:
0 comments