DAVID KAFULILA AZUA GUMZO MITANDAO YA KIJAMII NI BAADA YA KUWEKA PICHA AKIWA NA MTOTO WAKE
Kama
ukipitia mitandao ya kijamii ikiwemo Facebook, Twiter na makundi ya
WhatsApp unaweza kukuta mijadala mbalimbali wakijadili hatua kwa hatua
namna ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John
Pombe Magufuli na staili ya “Hapa Kazi Tu!”.. Lakini kwa aliyekuwa
Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila yeye tokea kuweka kwa picha yake
akiwa nyumbani kwake analea mtoto wake mdogo, picha hiyo imekuwa gumzo
ambapo kila mtu amekuwa akichangia neno analolijua yeye.
Hata
hivyo, kwa hatua hiyo bado inamweka Kafulila kuwa ni baba bora na
anayejari familia, licha ya maneno mengi ya wapinzani wake hivyo pia
kila aliye baba na mtoto, anao wajibu na haki ya kukaa na mtoto wake
kufurahia kama David Kafulila.
Category:
0 comments