.

.

DOGO JANJA ANUNULIWA MERCEDES BENZ NA MADEE

ZePLAN | 22:59:00 | 0 comments



Baada ya kuachia nyimbo mpya ‘My Life’ siku kadhaa zilizopita, msanii Dogo Janja amefanyiwa surprise ya kukabidhiwa gari aina ya Mercedes Benz na mmoja wa wasanii wanaomsimamia "Madee".
Surprise hiyo ilifanywa wakati Dogo Janja akiwa katika kipindi cha Ala za Roho kinachoruka kupitia Clouds Fm.

Awali Dogo Janja alikuwa hajafahamu kama Madee atafika na wakati yeye akiendelea na interview, Madee aliingia na kumkabidhi ufunguo hali iliyomfanya Dogo Janja aanze kulia na kushindwa kuzungumza.


Unaweza kutazama video hapa chini wakati Dogo Janja akikabidhiwa gari.................

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments