Kampuni ya Nike imezindua jezi ambazo zitatumiwa na nhini ambazo wana mkataba nao kwa ajili ya kuwatengenezea jezi kwa mwaka 2016.

Baadhi ya nchi ambazo zinatengenezewa jezi na Nike ni pamoja na Uingereza, Ureno, Brazil, Ujerumani, Ufaransa na Marekani.

Mo Blog imekuandali picha za jezi ambazo zitatumiwa na Uingereza ambazo pia wanataraji kuzitumia katika mashindano ya Euro 2016.

3248C42D00000578-3496897-Three_Lions_captain_Rooney_models_the_new_home_kit-a-20_1458220695140 3248C41800000578-3496897-Tottenham_striker_Kane_is_pictured_in_England_s_new_away_shirt-a-19_1458220691176 3248C3F800000578-3496897-image-a-29_1458221460198 3248C3D400000578-3496897-image-a-30_1458221464158
3248C3A500000578-3496897-image-a-64_1458221923344 3248C35F00000578-3496897-image-a-63_1458221919135
3248C37400000578-3496897-image-a-50_1458221695725 3248C3BB00000578-3496897-image-a-52_1458221700155