Taifa la Korea
Kaskazini limerusha makombora mawili ya masafa marefu katika bahari ya
mashariki ya pwani yake,siku chache baada ya kiongozi wake Kim Jong-un
kuagiza majaribio ya mabomu zaidi ya kinuklia na silaha nyengine.
Marekani
imejibu kwa kutoa wito kwa Pyongyang kutozua wasiwasi katika eneo hilo
ambao umekua juu tangu Korea Kaskazini kufanya jaribio la nne la mabomu
yake ya kinyuklia mnamo mwezi Januari.
Korea Kusini imeelezea jaribio hilo la hivi karibuni kama tishio kubwa la usalama na udhabiti wa eneo hilo.
Korea Kaskazini
Shirika la habari la Korea Kusini Yonhap limesema kuwa kombora la pili huenda liliharibika hewani.
Ripoti za awali zilisema kuhusu kombora moja lililorushwa.
Category:
About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!
Related posts:
If you enjoyed this article, subscribe to receive more just like it.
0 comments