WCB KUMTAMBULISHA MSANII MPYA AKIACHIA NA NYIMBO YAKE YA KWANZA
Leo
Jumatano kundi la Wasafi Classic (WCB) limemtambulisha msanii mpya
katika kundi hilo, Raymond ambaye pamoja na kutambulishwa ametambulisha
nyimbo yake mpya Kwetu.
Unaweza kuisikiliza hapa chini
Category:
0 comments