NISSAN WAJA NA GARI LINALOJIENDESHA LENYEWE BILA DEREVA
Kampuni ya Nissan imetangaza kwamba magari yake yanayokwenda bila dereva yataanza kuonekana mwezi ujao huko London.
Iwapo Nissan watapata kibali kutoka kwa mamlaka za Uingereza, baasi watakuwa kampuni ya kwanza kupeleka magari yanayojiendesha yenyewe barabarani
Category:
0 comments