FEDERER AIBUKA KIDEDEA KWENYE TAJI LA MICHUANO YA WAZI MIAMI
Nyota namba saba kwa ubora wa mchezo wa tenesi duniani Roger Federer usiku wa kuamkia leo ametwaa taji la michuano ya wazi ya Miami.
Roger raia wa Uswisi alimshinda mpinzani wake Muhispani Rafael Nadal kwa seti mbili.
Katika seti ya kwanza Feder alishinda kwa 6-3 na ya pili akishinda kwa 6-4.
Mchezaji huyu amepanga kupumzika kwa miez miwili baada ya usindi huo. Na anatarajia kurejea uwanjani katika michuano ya wazi ya Ufaransa.
Category:
0 comments