.

.

MELI YA INDIA YATEKWA NA MAHARAMIA NCHINI SOMALIA

ZePLAN | 23:04:00 | 0 comments


A Somali pirate keeping vigil near Hobyo, in Somalia - Archive shotKumezuka kitendawili kuhusu eneo halisi ambako meli hiyo ya kutoka India ilitekwa.
Vyombo vya habari nchini vinaarifu kuwa tukio hilo linaarifiwa kutokea Somalia ya kati, eneo la Elhur kiasi ya kilomita 50 kusini mwa Hobyo, eneo ambalo miaka michache iliyopita lilikuwa ndio kitovu cha maharamia wa Kisomali.Somali Pirates Hijack Indian Commercial Ship That Departed Dubai: Report
Kaimu rais wa eneo la Galmud, Somalia ya kati wamesema kwamba meli ya mizigo imetekwa siku ya Jumamosi karibu na eneo la Haradhere.
Ameeleza kuwa meli hiyo ilikuwa inaelekea Kismayo.
Wakati huo huo maafisa huko Puntland wanasema utekaji huo umefanyika katika eneo lao.
maboti baharini
Inaarifiwa kuwa meli hiyo ilikuwa inaelekea Yemen kutoka India wakati ilipotekwa hata hivyo meli inasadikiwa ilikuwa na  mabaharia wasio pungua 11 ndani.
Mapema mwezi uliopta maharamia katika eneo la Puntland waliiteka meli ya mafuta ambayo hata hivyo  baadaye waliachia huru.
Kilikuwa ni kisa cha kwanza cha uharamia kushuhudiwa tangu 2012.Haki miliki

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments