CANADA:WAZIRI MKUU NCHINI HUMO KUPIGANA MASUMBWI NA MCHEZA FILAMU

Perry aliakiambia kituo kimoja cha runinga cha Marekani kuwa wote walikuwa shule moja ya msingi huko Ottawa, wakati yeye na rafiki wake waliamua kumpiga kijana huyo mdogo.
"Nafikiri alikuwa mtoto peke yake ambaye nilikuwa na uwezo kumpiga," Perry alieleza.
Mambo hata hivyo yamebadilika miaka iliyopita. Perry amekuwa mmoja wa watu maarufu katika sekta ya filamu duniani.

Naye bawana Trudeau ambaye anataja ndondi kama mchezo anaoupenda amefuata nyayo za babake na kuwa waziri mkuu wa Canada.
Category:
0 comments