ASKARI SITA RUMANDE KWA MAUAJI YA WATU WAWILI NCHINI TANZANIA
Askari sita wanashikiriwa na jeshi la polisi na mmoja akiendelea kutafutwa kutokana na tuhuma za kuua washitakiwa wawili wanao shitakiwa kwa kosa la ujangili.
Kamanda Kova kasema kati ya hao wawili ni askari polisi, na wenzao wengine wanne ni askari wanao toka kwenye kitengo cha wanyama pori kikosi kazi cha kuzuia ujangiri.
Askari wanamashitakiwa kwa kuwauwa bwana Yasini Rashidi mkazi wa Mabibo mwenye miaka 46 na Samsoni Masigare almaarufu kwa jina la (Ngosha).
Category:
0 comments