KIJANA ALIE VAA MFUKO WA RAMBO NA KUCHORA NAMBARI KUMI KAMA JEZI YA MESSI ATUMIWA JEZI MPYA NA MESSI
Mvulana wa Afghan akivalia jezi nzuri aliyotumiwa na Messi |
Mvulana wa taifa la Afghanistan
ambaye aligonga vichwa vya mitandao ya kijamii alipovaa fulana ya mfuko
wa plastiki ilio na jina la Lionel Messi hatimaye amepata jezi nzuri
kutoka kwa mshambuliaji huyo wa Argentina.
Murtaza Ahmadi mwenye umri wa miaka 5, anatoka katika wilaya ya Jaghori mashariki mwa mkoa wa Ghazni nchini Afghanistan.
Hii ndio jezi aliyotengeza nyumabni na kuvaa |
''Ninampnda Messi na fulana yangu inasema Messi ananipenda,Murtaza alisema,tayari akimuigiza mshambuliaji huyo anavyosheherekea bao lake.
Msako wa mtoto huyo katika mtandao ulisababishwa na picha moja ilioenea katika mitandao ikimuonyesha amevaa fulana ya plastiki ya Messi.
Mvulana wa Messi |
Category:
0 comments