Masoko manne ya ng'ombe ambayo ngombe za wizi zilikuwa zikiuzwa ili kufadhili kundi la wapiganaji la Boko haram yamefungwa.
Wapiganaji hao wamekuwa wakitumia maajenti kuuza ng'ombe zilizoibwa kulingana na gavana wa jimbo la Borno.
Soko la Boko Haram
Biashara ilisitishwa kwa kipindi cha wiki mbili katika soko la ngombe la Gamboru,ambalo ni miongoni mwa masoko makubwa Afrika.
Boko Haram limeiba ng'ombe wengi nchini Nigeria na taifa jirani la Cameroon.
Boko Haram
Mashambulio ya miaka sita ya kundi hilo
yamesababisha vifo vya watu 17,000,kuharibu shule 1000 na kuwawacha
zaidi ya watu milioni mbili bila makao.
Category:
About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!
Related posts:
If you enjoyed this article, subscribe to receive more just like it.