BREAKING NEWS AJALI MBAYA YA BASI LA ABIRIA NA LORI LA MZIGO ILIOTOKEA TABATA MATUMBI
Ajali imetokea asubuhi ya leo ikihusisha lori moja la mizigo namba za usajili (T 109 DDX ) lilikuwa limebeba ng'ombe na basi la abiria aina ya (DCM) lenye safari zake za Ubungo/ Gongolamboto idadi ya watu walio kufa bado haijajulikana,ila watu waliokuwa majeruhi hawazidi watano katika ajali hiyo na waliopakizwa walikuwa niwengi sana kwenye gari hilo ,Ajali imetokea maeneo ya Tabata Matumbi wakati DCM likiwa linaelekea ubungo.
Kama unandugu jamaa au rafiki anaepita njia hiyo jaribu kufanya mawasiliano nae kujua hali yake
Uongozi na team nzima ya BLOG ya Ochu mkwanja inawapa pole waliofikwa na ajali hiyo
Category:
0 comments