MAJINA YA MAJERUHI WALIO KUWEPO KWENYE AJALI LEO ASUBUHI MAENEO YA TABATA MATUMBI HAYA HAPA
Majina
ya MAJERUHI waliopata ajali leo asubuhi katiaka eneo la TABATA MATUMBI na kukimbizwa hospitali ya AMANA
yamepatikana na kuwekwa bayana ili kuweza kutambua majeruhi hao tazama hapa chini......
Majina ya majeruhi wa ajali waliofikishwa kwenye hospitali ya Amana |
picha mbali mbali kuonyesha ajali ilivyotokea na polisi akiwa anaekeleza wajibu wake |
Ajali imetokea asubuhi ya leo ikihusisha lori moja la mizigo namba za usajili (T 109 DDX ) lilikuwa limebeba ng'ombe na basi la abiria aina ya (DCM) lenye safari zake za Ubungo/ Gongolamboto idadi ya watu walio kufa bado haijajulikana,ila watu waliokuwa majeruhi hawazidi watano katika ajali hiyo na waliopakizwa walikuwa niwengi sana kwenye gari hilo ,Ajali imetokea maeneo ya Tabata Matumbi wakati DCM likiwa linaelekea ubungo. Kama unandugu jamaa au rafiki anaepita njia hiyo jaribu kufanya mawasiliano nae kujua hali yake
Category:
0 comments