Home �
� RAIS WA KOREA KASKAZINI KIM JONG-UN AELEZA JUU YA ZANA ZAKE MPYA ZA KINYUKLIA
ZePLAN |
23:59:00 |
0
comments
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim
Jong-un, amedai kuwa wanasayansi wake wamefanikiwa kubuni zana za
kinuklia tayari kutundikwa kwenye mizinga ya masafa marefu.
Shirika
la habari linalomilikiwa na serikali limechapisha picha zinazomuonyesha
bwana Kim akisimama karibu na kifaa chenye umbo la mstatili.
Mwandishi wa BBC aliyepo katika eneo hilo amesema ni vigumu kuthibitisha madai hayo kama ni ya kweli.
Category:
About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!
0 comments