.

.

DIAMOND PLUTINUM NA KANYE WEST WAKUTANA USO KWA USO MAREKANI

ZePLAN | 00:39:00 |


Picha Diamond Plutinum akiwa kwenye ndege kuelekea Marekani

Diamond atua marekani akiwa anaenda kwenye show ambazo zipo katika ratiba yake na kukutana na msanii nguli wa nchini Marekani Kanye west ambae ni msanii anae fanya vizuri sana nchini humo.

Hata hvyo Diamond alionekana ni mwenye kupita na kuelekea kwenye Jimbo lingine nchini humo kutokana na kile alicho kiandika kwenye Ukurasa wake wa Instagram .

mond

Diamond anaeendelea kutamba nchini anazidi kuongeza mtandao wake na kutengeneza mazingira mazuri ya yeye kuweza kufanya kazi na wasanii nguli wa nchi balimbali duniani kote 


Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!