DIAMOND USO KWA USO NA AWILO LONGOMBA
Diamond, Zari, Awilo Longomba na Zari wakiwa Paris, Ufaransa
Wawili
hao wamekutana Paris, Ufaransa na Awilo hakuchelewa kuonesha furaha
yake kukutana na familia ya Chibu, yaani Zari na mtoto wao Tiffah. Kuna
kila dalili kuwa kutano lao lilikuwa ni la mazungumzo ya collabo.
Muimbaji huyo mkongwe wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo amepost picha nne kwenye akaunti yake ya Instagram.
Category:
0 comments