HARMONIZE AWEKA WAZI SIRI YA DIAMOND PLATINUM KUHUSU CHAKULA ANACHOKULA
Msanii wa bongo Fleva Harmonize amefichua siri kuwa bosi wake msanii
Diamond Platnumz huwa anakula chakula ambacho mke wake Zari amepika
wakati akiwa nyumbani.
Harmonize ambae anatamba na nyibo yake mpya nayoitwa BADO alio mshirikisha Diamond Platinum amefunguka kuwa shemeji
yake Zari huwa hapendi chakula anachokula Diamond kipikwe na msaidizi wa
kazi za ndani na mara zote Diamond anapokuwa nyumbani chakula chake huwa kinaandaliwa na Zari ambae ni mama watoto wa Diamond Platinum, Diamond platinum anamtoto mmoja anaeitwa Latiffa au Tiffa ambae anakimbilia kufikisha mwaka sasa.
“Yani Zari ni shemeji bora kwangu, kwanza chakula cha Diamond hakipikwi na yeyote zaidi yake, so akimuwekea na mimi huwa nakula pia sababu Diamond nae hapendi kula peke yake” alifunguka msanii huyo anayetamba na wimbo wake wa Bado.
Category:
0 comments