WAFANYA KAZI 597 WAMESIMAMISHWA KAZI NIDA
"NIDA
chini ya malengo yake ilitarajia kuzalisha vitambulisho 24,000 kwa siku
kukiwa na wafanyakazi 802 wenyemkataba wa kudumu na 597 mikataba ya
muda,tumekuwa tukizalisha chini ya 10% kwa siku tuko jumla 1399
ukigawanya tu kwa sisi wote ukweli kunawengine wanabaki bila
uzalishaji.haiwezeka"Alifafanua Dr.Kipilimba Mkurugezi wa NIDA
Vijana waliofutwa kazi NIDA watakutana Victoria jengo la BMTL.
Wanadai
kwamba wamefukuzwa kazi kabla ya mikataba yao kuisha na pia hawajalipwa
mishahara kwa miezi 3, Watakuwa Makumbusho leo saa nne asubuhi,
wanataka kukutana na kuongea na Waandishi wa Habari.
Category:
0 comments