Mgombea anayeongoza
katika chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump, amejiongezea
ushawishi kama mgombea mkuu kufuatia ushindi wake katika majimbo ya
Michigan na Mississippi.
Wadadisi wanasema kuwa ushindi huo mara mbili umezima uvumi wa mwishoni mwa wiki kuwa kampeni yake Trump ilikuwa imepoteza kasi.
Baada
ya kupata ushindi huo , Trump alisema kuwa anakiongezea umaarufu chama
cha Republican. Mshindani wake mkuu Seneta Ted Cruz naye alipata ushindi
katika jimbo dogo la Idaho.
Bernie Sanders na Hillary Clinton
Kwenye upande wa chama cha Democratic inaripotiwa
kuwa Bernie Sanders ameshinda mchujo katika jimbo la Michigan huku naye
Hillary Clinton akiibuka mshindi katika jimbo la Mississipi.
Category:
About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!
Related posts:
If you enjoyed this article, subscribe to receive more just like it.
0 comments