.

.

MAKAMU WA RAIS MH SAMIA SULUHU USO KWA USO NA WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU

ZePLAN | 04:14:00 |

umy1 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam jana March 04,2016 Kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. 
 Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam jana March 04,2016 Kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi


umy2 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam jana March 04,2016 Kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!