.

.

REFARI WA KIKE MTANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA

ZePLAN | 23:19:00 | 0 comments

 Image result for Jonesia Rukyaa
Refarii wa kike wa kimataifa wa Tanzania mwenye beji ya FIFA, Jonesia Rukyaa ameteuliwa kuungana na waamuzi kutoka nchini Kenya kuchezesha mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Kombe la dunia kwa wanawake wenye umri chini ya miaka 17 (WWC-Q 17) mwishoni mwa mwezi huu.


Jonesia Rukyaa atakua mwamuzi wa akiba katika mchezo huo kati ya Misri dhidi ya Cameroon utakaochezwa jijini Cairo wikiendi ya tarehe 25,26,27 Machi, 2016.
Image result for Jonesia Rukyaa

Muamuzi wa kati katika mchezo huo atakua ni Carolyne Wanjala (Kenya), akisaidiwa na Carolyne Kiles (Kenya), Mary Njoroge (Kenya), huku kamishna wa mchezo huo akiwa ni Leah Annette Dabanga kutoka jamhuri ya Afrika ya Kati.

Image result for Jonesia Rukyaa


Hata hvyo amekuwa akichezesha michezo ya timu kubwa nchini  Tanzania kama mchezo ule uliochezwa na simba na yanga na
 Yanga kuibuka kidedea 


Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments