.

.

WAZIRI MKUU KASIMU MAJALIWA ATOA ZAWADI KWA WASHINDI WA UANDIKAJI INSHA

ZePLAN | 00:31:00 | 0 comments

jl1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Said Jabir wa Shule ya Mbekenyera  wilayani Ruangwa,  zawadi ya Laptop baada ya kuwa   mshindi wa tatu katika mashindano ya uandishi wa Insha kwa nchi za Jumuiya ya  Afrika ya Mashariki. 

Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 7, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

jl2
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Said Jabir zawadi ya Laptop baada ya kuwa   mshindi wa tatu katika mashindano ya uandishi wa Insha kwa nchi za Jumuiya ya  Afrika ya Mashariki. 

Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 7, 2016.

Kushoto ni  Shannel Nchimbi,   Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mbekenyera wilayani Ruangwa alikosoma mwananfunzi huo,  (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments