WAZIRI UMMY MWALIMU AKUTANA NA MABALOZI WA UJERUMANI NA IRELAND WALIOPO NCHINI
Waziri
wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto,Ummy Ally
Mwalimu mapema leo amekutana na Mabalozi waliopo nchini pamoja na
ujumbe wao waliomtembelea ofisini kwake Wizarani jijini Dar es Salaam.
Mabalozi
hao waliokutana na Waziri Ummy ni pamoja na Balozi wa Ujerumani nchin,
Bw. Egon Kochanke aliyeambatana na Ujumbe wake. Balozi mwingine ni
Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsennan.
Waziri
wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
(kulia kwa waziri) akimsikiliza Balozi wa Ujerumani nchini, Bw. Egon
Kochanke (Katikati) wakati alipomtembelea ofisini kwake leo.
Waziri
wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
akimsikiliza Balozi wa Ireland nchini, Bi. Fionnuala Gilsennan (kulia
kwa waziri wakati alipomtembelea ofisini kwake leo. Wengine ni baadhi ya
maofisa wa ubalozi huo.
Waziri
wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
(kulia kwa waziri) akimsikiliza Balozi wa Ujerumani nchini, Bw. Egon
Kochanke (Katikati) wakati alipomtembelea ofisini kwake leo. Wengine ni
baadhi ya maofisa wa ubalozi huo.
Category:
0 comments