RAIS WA VIETNAM AONDOKA NCHINI
Rais
wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh wakiagana na Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam wakati walipoondoka nchini
Machi11, 2016.
Rais
wa Vietinam, Truong Tan Sang na Mkewe Mai Thi Hanh wakiwapungia
wananchi huku wakiongozwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuelekea
kwenye ndege yao kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam wakati walipoondoka nchini Machi11, 2016.
Mpiga
picha aliyeambatana na Rais wa Vietinam katika ziara yake nchini
akicheza ngoma kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam kabla ya kuondoka nchini kwa Rais wake , piga picha aliyeambatana
na Rais wa Vietinam katika ziara yake nchini akicheza ngoma kwenye
uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla ya kuondoka
nchini kwa Rais wake , Truong Tan Sang, Machi 11, 2016.(Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
Category:
0 comments