MANCHESTER CITY WATOKA BILA BILA NA REAL MADRID
Manchester city na Real Madrid zimetoka sare ya bila kufungana.
Mchezo huo ni wa hatua ya Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.Kufuatia matokeo hayo Sasa timu hizo zitarudiana wiki ijayo katika Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid Hispania katika mchezo wa marejeano.
Mchezo mwingine Wa nusu fainali unapigwa leo Jumatano ambapo Atletico Madrid watapepetana na Bayern Munchen Jijini Madrid katika uwanja wa Estadio Vicente Calderon. Fainali ya Michuano ya hii itapigwa Jumamosi tarehe 28.
Category:
0 comments