MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM ATANGAZA ZOEZI LA KUONDOA OMBAOMBA JIJINI HUMO
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Mkonda atangaza operesheni kubwa itakayosimamiwa na jeshi la polisi dhidi ya ombaomba wanaosimama barabarani katika mitaa yote ya jiji la Dar es salaam.
Category:
0 comments