NDEGE ZA MAREKANI ZAENDELEA KUFANYA MASHAMBULIZI KWA AL-SHABAAB
Mashambulizi hayo yalilenga ngome za al-shabab ambazo ziitajwa kuwa hatari kwa Marekani.
Ndege za kivita za Marekani zisizokuwa na rubani zimewaua karibu wanamgambo 12 wa kundi la al-Shabab kusini mwa Somalia kwa mujibu wa afisa mmoja nchini Marekani.
Alisema kuwa mashambulizi hayo yalilenga ngome za al-shabab ambazo ziitajwa kuwa hatari kwa Marekani.
Category:
0 comments