RAIS JOHN POMBE MAGUFURI AREJEA NYUMBANI KUTOKA SAFARI YAKE YA RWANDA NA NDIO SAFARI YAKE YAKWANZA TANGU AINGIE IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akilakiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam akitokea nchini Rwanda alikokuwa katika ziara ya kikazi ya siku
mbili leo Alhamisi April 7, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akilakiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange huku Inspekta
jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu akisubiri zamu yake mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam akitokea nchini Rwanda alikokuwa katika ziara ya kikazi ya
siku mbili leo Alhamisi April 7, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akilakiwa na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna
Simon Sirro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Rwanda alikokuwa
katika ziara ya kikazi ya siku mbili leo Alhamisi April 7, 2016.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akilakiwa na Msajili wa vyama vya Siasa Mhe Jaji Francis Mutungi mara
baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam akitokea nchini Rwanda alikokuwa katika ziara ya
kikazi ya siku mbili leo Alhamisi April 7, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongozana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Rwanda alikokuwa katika ziara ya kikazi ya siku mbili leo Alhamisi April 7, 2016
Category:
0 comments