UKWELI KUHUSU KIPINI KWENYE PUA YA DIAMOND PLATINUM UKO HAPA, SUDI NAE AJA NA YAKE
Kwa
saa kadhaa zimeenea taarifa za mwimbaji staa wa bongofleva Diamond
Platnumz kuonekana katoboa pua, hii habari imepewa nguvu kutokana na
picha aliyoipost Diamond mwenyewe kwenye Instagram akionekana katoboa
pua.
Ukweli
ukoje? …ukweli ni kwamba Diamond hajatoboa pua kama wengi walivyodhani
ambapo Meneja wake aitwae Sallam aliwajibu hivi mashabiki walioanza
kuuliza >>>
Ni nini ulifikiri kuhusu suala la pua ya diamond baada ya kusikia mitandaoni.......
Maneno
ya Meneja Sallam yanamaanisha kwamba sio kweli Diamond katoboa pua, ni
mchezo tu na baada ya hiyo picha ya kutoboa pua Diamond aliweka picha
nyingine inayoonekana hapa chini akiwa fresh kabisa watu wasiendelee
kupanic.
Category:
0 comments