.

.

SERIKALI YA IRAQ KUWA TIMUA AL-JAZEERA NCHINI HUMO

ZePLAN | 07:15:00 | 0 comments

Iraq                          

Iraq imesema Al Jazeera imekiuka kanuni za uanahabari 
              
Serikali ya Iraq imeliamuru shirika la utangazaji la Al Jazeera kufunga ofisi zake mjini Baghdad.
Wanahabari wa shirika hilo pia wamepigwa marufuku kukusanya habari nchini humo.

Maafisa wa serikali wanasema shirika hilo la utangazaji limekuwa likikiuka kanuni za uanahabari, ambazo miongoni ni kuwa zinazuia mashirika ya habari kuangazia makundi ya waasi.

Shirika la Al Jazeera limesema limeshangazwa sana na hatua hiyo na limekanusha kuvunja kanuni zozote za kitaaluma.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments