WANNE WADONDOKEWA NA KIFUSI NA KUPOTEZA MAISHA DAR ES SALAAM
Watu wanne wanasadikiwa kupoteza maisha kutokana na kudondokewa na kifusi katika eneo la kawe jijini Dar es salaam .
Ajali hiyo ilitokea saa kumi na mbili asubuhi huku kikosi cha maafa kikipewa taarifa majira ya saa mbili asubuhi kitu kilichosababisha zoezi la kutoa miili iliyo fukiwa na kifusi kuchelewa kutolewa katika kifusi hicho kutokana na kuchelewesha kutoa habari kwa wakati.
Category:
0 comments