YANGA NA AL AHALY NDANI YA DAKIKA TISINI ZA MCHEZO
Mchezo
wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya 16 kati ya wawakilishi pekee wa
Tanzania katika mashindano hayo, Yanga ya Tanzania na wageni Al Ahly ya
Misri umemalizika katika uwanja wa taifa kwa timu hizo kutoka sare ya
goli moja kwa moja.
Katika
mchezo huo, Al Ahly ilikuwa ya kwanza kupata goli kupitia kwa mchezaji
wake Amr Gamal na dakika chache baadae Yanga kusawazisha baada ya
mchezaji wa Al Ahly Ahmed Hegazy kujifunga dakika ya 16 ya mchezo huo
ambapo mpaka mchezo unamalizika, Yanga 1 na Al Ahly 1.
Category:
0 comments