.

.

DIWANI WA CHADEMA AMUUNGA MKONO RAIS J. MAGUFULI

ZePLAN | 00:54:00 | 0 comments

Diwani wa Loiborsiret, wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara, Ezekiel Lesenga (Chadema), ameunga mkono agizo la Rais John Magufuli kwa kutoa madawati 100 kwa shule nne za msingi za kata yake.

Wakati akiwaapisha wakuu wa wapya wa mikoa, Rais Magufuli aliwaagiza kuhakikisha hadi mwishoni mwa Mei, hakuna mwanafunzi anakaa sakafuni akiwa darasani kwa kukosa madawati.
Afafanua mgawanyo wa madawati alisema shule ya Nakarauwo imepata 50, Loiborsiret (30), Namelock (10) na Kangala madawati 10.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments