.

.

KIVUKO CHA MV MAGOGONI KUWASILI MWEZI WA NANE

ZePLAN | 02:41:00 | 0 comments

 
Taswira mpya ya kivuko cha Mv Magogoni.

Kivuko cha MV Magogoni kipo katika hatua ya mwisho ya matengenezo tangu kilipo anza kufanyiwa marekebisho miezi kadhaa iliopita na kutarajiwa kurudi katika kutoa huduma zake za kawaida mnamo mwezi wa nane mwaka huu.

Kivuko cha MV Maagogoni ni kivuko chenye ukubwa wa kubeba abiria wengi zaidi ukilinganisha na vivuko vilivyobakia sasa  japo idadi kubwa ya watu wanao tumia kivuko hicho kupunga kwasababu ya uwepo wa daraja la mwl Nyerere ambalo linasaidia kwakiasi kikubwa sana.

Hata hivyo makampuni ya M/S Songoro Marine Transport Courtyard ya Mwanza na TEMESA Jijini Dar es salaam wamekuwa na msaada mkubwa wakufanya ukarabati wa kivuko cha MV Magogoni mpaka kufikia sasa.




Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments