.

.

BARCELONA YAIBUKA KIDEDEA UGENINI KWA GOLI 3-0

ZePLAN | 01:20:00 | 2 comments

Haki milikiGES
Suarez akiwa na Messi wakishangilia ushindi
Image caption
Wababe wa soka ya nchini Hispania,Real Madrid  na Barcelona wameendelea kuendeleza kichapo na kujiwekea nafasi nzuri ya kujishindia  katika michezo ya kuwania ubingwa wa la liga.
La liga
Wachezaji wa Barcelona wakipongezana baada ya Messi kufunga

Barcelona wakicheza katika uwanja wao wanyumbani wa Nou Camp wamewachapa Sevilla kwa mabao 3-0, magoli ya Barca yakifunga na magwiji wakutingisha nyavu Luis Suarez na lionel Messi aliyefunga mara mbili.
Real Madrid wakiwa ugenini wameendeleza ubabe na kuibuka kidedea kwa kushinda mabao 4-2 dhidi ya Leganes,Mshambuliaji Alvaro Morata akifunga hattrick na goli lingine likifungwa na James Rodriguez, wakati magoli ya Leganes yakifungwa na Gabriel Pires,na Luciano Neves na kuwaacha mashabiki wa leganes kuondoka na majozi baada ya timu yao kupoteza mchezo huo wakiwa nyumbani .
La ligaHaki miliki ya picha
Image captionMshambuliaji wa Real Madrid James Rodriguez akiwa amemiliki mpira
Alaves wakalala nyumbani kwa bao 1-0 dhidi ya Osasuna, Deportivo La Coruna wakatoshana nguvu na Granada kwa sare ya bila kufungana , Malaga wakawatambia Sporting Gijon nyumbani kwa kuwafunga bao 1-0.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

2 comments: