.

.

MICHEZO: Chelsea na Man U nani kuibuka bingwa

ZePLAN | 14:08:00 | 0 comments

Chelsea wanatumai kwamba mshambuliaji Loic
Remy atacheza katika mechi dhidi ya
manchester United baada ya kukosa mechi dhidi
ya QPR na jeraha la mguu.
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa hatocheza
lakini anaweza kurudi dhidi ya Arsenal wiki ijayo.
Mkufunzi wa kilabu ya manchester United Luois
Van Gaal atawakosa wachezaji wake wanne
akiwemo Michael carrick,Daley Blind,Phil Jones
na Marcos Rojo.
Jonny Evans na Chris Smalling wanahudumia
marufuku huku Paddy McNair na Tyler Blackett ni
wachezaji wa pekee wa safu ya ulinzi wa kiungo
cha kati waliosalia.

Category:

About GalleryBloggerTemplates.com:
GalleryBloggerTemplates.com is Free Blogger Templates Gallery. We provide Blogger templates for free. You can find about tutorials, blogger hacks, SEO optimization, tips and tricks here!

0 comments